Advertisements

Monday, June 3, 2013

MKUTANO MKUBWA (RETREAT) KUFANYIKA HOUSTON TX

Watanzania wote walioko Marekani mnakumbushwa juu ya mkutano mkuu wa kiroho uliondaliwa na Jumuia ya Watanzania Wasabato Marekani (Tanzania Adventists in the United States). Mkutano wa mwaka huu utafanyika Houston TX. Wote mnawakaribishwa.

TAREHE ZA MKUTANO: July 11-14, 2013

MAHALI- Oak SDA School, 11735 Grant Road, HOUSTON, TEXAS 77429 USA

MGENI RASMI: Mchungaji Lucas Nzungu wa Arusha University, Tanzania

Gharama za mkutano- chakula na hoteli (Holiday Inn) ni $292.50 kwa mtu aliye tayari ku’share’ chumba; au $465 kwa chumba cha pekee. Kama unahitaji ufadhili wa malazi na chakula ufikapo Houston, tafadhali tujulishe mapema.


Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na mwandilizi mkuu wa mkutano Bw. Msafiri Lugoe (TX) 281-760-6805; au Jeoffrey Ngullu (PA) 267-582-6276 na Shukrani Magoma (DC) 2020-607-1976. Karibuni nyote.

No comments: