Kwa masikitiko makubwa tunajulishwa kuwa Dada yetu Asha Akida (Aunt Asha)amefiwa na kaka yake ISSA AKIDA LEMBUYA , ambaye pia ni baba wa dada yetu MTUMWA . Msiba umetokea leo huko nyumbani Tanzania.
Kama ILIVYO desturi yetu tuungane kuwapa pole wafiwa.
Msiba upo :
2004 Maryaland ave NE. Apt 108
Washington Dc 20002
Namba ya : Aunt Asha ni : 240-899-0107
Kutakuwa na Kisomo cha Kumuombea Marehemu (Hitma)
Jumapili, kwenye TAMCO Family Day: at 4:00PM. Adress ya Kwenye kisomo siku ya Jumapili ni :
Address: Wheaton Claridge Local Park
11901 Claridge Rd
Wheaton-Glenmont,
MD 20902
Asanteni
No comments:
Post a Comment