ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 24, 2013

SASHA S. HOME ANAYECHEZA SERIES YA WHODUNNIT ABC KILA JUMAPILI

Sasha Home akiingia ndani ya mjengo wa Capitale kiota cha maraha kilichopo K St NW alipowakaribisha marafiki zake kuweza kuangalia nae Series Whodunnit iliyoanza kuonyeshwa Jumapili June 23, 2013 kwenye channel ya ABC saa 3 usiku (9pm). Sasha ni mwanahabari anayeisha Arlington, Virginia.
Sasha Home (kulia) katika picha ya pamoja na moja ya marafiki zake aliowaalika kwenye kioata cha Capitale kilichopo K ST NW, Washington, DC.
Sasha katika picha na mmoja ya marafiki zake.
Mpwa (shoto) pamoja na Baraka Daudi wakipata picha ya pamoja na Sasha.
Sasha akishadidia kitu wakati series ya Whodunnit ikiendelea kuonyeshwa kwenye luninga.
Sasha akipata dada yake Dorin Detterville
Sasha katika picha ya pamoja na marafiki zake.
Sasha katika picha ya pamoja na marafiki zake waliofika Capitale kumuunga mkono na kuangalia nae series ya Whodunnit
Sasha na marafiki zake katika picha ya pamoja.
kwa picha zaidi bofya read more


No comments: