ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 23, 2013

SHEREHE YA GRADUATION YA WAHIDA ULOTU YAFANA

Wageni waalikwa wakiingia kwenye ukumbi wa Knight Of Columbus uliopo Cherry Hill Rd, College Park, Maryland nchini Marekani sherehe ya Graduation ya Wahida Ulotu (kulia) aliyehitimu na kufuzu kuwa Nesi mwaka 2012. 
Wahida Ulotu (kulia) akiwa na mpambe wake meza kuu kwenye sherehe yake ya kumaliza chuo alichokua akisomea Unesi, sherehe ilifanyika Jumamosi June 22, 2013 kwenye ukumbi wa Knight Of Columbus uliopo Cherry Hill Rd, College Park.
Wahida akiingia ukumbini huku akifuatiwa na ndugu, jamaa na marafiki.
 Wahida akiwalisha keki wazazi wake, pichani mama Wahida akillishwa keki huku kulia Mr Ulotu akiangalia
 Wahida akilisha keki mpambe wake huku wazazi wake wakishuhudia
 Wahida akimlisha keki kijana mtarajiwa
Wahida akilishwa keki na baba yake.

Wahida na mpambe wake katika picha ya pamoja.

Juu na chini ni wazazi wa Wahida katika picha ya pamoja na wageni waalikwa.
Kwa picha zaidi bofya read more

No comments: