Mkasa huu umetokea huko Congo ..Wapenzi hawa wawili waliamua kuchukua jukuma la kujinyonga kwa kujininginiza kwenye mti hadi kufa baada ya wazazi wa mvulana kukataa mtoto wao asimuoe msichana huyo..Baada ya jitihada zao za kuwashawishi kushindikana basi waliamua kuchukua hatua hiyo ya kujinyonga....Wazazi tuwe makini na maamuzi yetu mbele ya watoto

1 comment:
Hiiii kali kuliko jamani. sasa siwangetoroka tu wakaishi nchi nyingine au sehemu nyingine kasha waowane? Mie sijiui hata nyani mitini waanze kuongea Kiiinglish!!! Maisha matamu sana aisee halafu si mtu utakufa tu kwani tutaishi forever si wange subiri tu wawe wa na "do" kisiri siri kuliko kuji nyofoa roho. Duu! RIP
Post a Comment