ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 8, 2013

Shilole na Masanja walivyopagawisha ndani wa Washington DC siku ya Anniversary ya Vijimambo

9 comments:

Anonymous said...

mrs aj yuko wapi jamani sijamuona kwenye party hii angekuwepo ingenoga

Anonymous said...

waliojifunga hijabu ramadhani inakuja mmejianda siyo kwenda kwenye maparty na hijabu zenu, si bora mngezivua jamani muogopeni mungu kama kweli waislamu

Anonymous said...

haleluyah lawd have mercy!

Anonymous said...

Ebrah mbona uko pembeni wangu?

Anonymous said...

utuwekee na video za mchana,ilikuwa offair siku hiyo hatukuona live.mdau jpn

Anonymous said...

Hongereni sana jamani Mungu ni mwema Praise Lord Jehovah!!!!

Anonymous said...

What the hell are you talking about hijab? Hijab ni mavazi ya watu wenye asili ya kiarabu, na kila mtu ana maamuzi yake nini cha kufanya!!!!!!!!!!!!!!!Get a life loser!!!!!!!!!!!!!! Ramadan kafunge wewe na familia yako@!!!!!!!!!!!!!!Wewe ni nani kumwambia mtu kuhusu Ramadan, nenda elezea kwa familia yako sisi hapa kila mtu kaja na nauli yake. Kukaa USA sote sio jamaa bali ni watu wa kutoka nchi moja. Tuheshimiane!!!!

Anonymous said...

shilolee upo juu vibaya luka umecheza kama pele umewatoa watu jasho kiuno mfupa hamna mweee

Anonymous said...

Masanja should come again by popular demand!!!!he was hillarious