|
Hawa ni Whe Wabunge, huku wakiwa wamenyolewa nywele zote
Vijana Wakiume wakiwa mazoezini
Kuna habari inayovuma kua kuna wimbi kubwa la ubakaji kwenye kambi za(ya) mafunzo za(ya) JKT kwa wnafunzi waliohitimu KIDATO CHA SITA wanaojiunga kwenye kambi hizo kwa visingizio vya KUWAFUNZA UZALENDO..
Habari hii sasa sio siri tena na mbinu wanayotumia hawa wanaotoa mafunzi kwa dada zetu ni kua;asubuhi wakati bado kuna kiza kinene wanawapeleka watu kwenye mashamba ya kambini na wanawapangia maeneo kwa umbali mkubwa sana kutoka kwa mwingine,baada ya hapo watoto wakike hubakwa na kutishwa endapo watapiga kelele..
Kuna Mwanafunzi anaedaiwa kufariki Tabora baada ya kuzidiwa na mazoezi ya Jeshi, Halima Kitangilwa (20) amezikwa leo Dar,Lakini Baba yake amesema amedanganywa kuhusu chanzo cha kifo lakini ndugu zake waliokuwepo jeshini wamemwambia ukweli(Kua alibakwa hali iliyomsababishia maumivu hadi kufa), analaumu pia hajapewa ripoti ya uchunguzi wa mwili.
MY TAKE:
JKT NI SEHEMU YA KUPEWA MIMBA NA KUAMBUKIZWA MAGONJWA YA ZINAA KWA WATOTO WA KIKE KAMA WANAJESHI WETU HAWAWEZI KUBADILIKA KWA HILI BASI NI HERI WATOTO WETU WASIENDE VYUONI KULIKO KWENDA HUKO KWENYE 'MAFUNZO YA UZALENDO'..
SOURCE JAMII FORUMS
|
1 comment:
Na ndio maana waliifuta!! Mimi siipendi kabisa na sijui kwanini waliirudisha,hayo wasemayo ni kweli kabisa wana nyanyasa mno kimapenzi kwa watoto wa kike, nashangaa serikali ilikua inafumbia macho hili swala, na ukiwa mbishi ni utakoma na adhabu na Kazi wanazokupa kisa hujitoi mwili wako, na ndio maana wanajeshi wengi wamekufa na ukimwi wanaambukiza magonjwa ya zinaa na kuwapa mimba wasichana, naandika kwa uchungu sana Mimi nilikwwnda jeshini 1975 bado msichana niliyaona haya na pia kufanyiwa ila kulikua hakuna pa kushitaki na ilikua ni aibu kusema.sikua na wakumwambia nilikaa na aibu yangu rohoni na nimelitoa donge langu Leo hapa as Anonymous!!.Unabadilishwa na hao mashetani Kama nguo kila unapopita uko uchiiiii wame kulala wote then wakija wapya wanaku dump wanachukua wasichana wapya, mzunguko ndio huo always.Am shock Kwenye karne hii bado mambo hayo yanaendelea!!! Kwa kweli inauma mnoooo.Saa nyingine wanakufanya vibaya kwa zamu!!!(nalia kwa uchungu)Serikali iangalie hiyo na ifute kabisa hayo mafunzo ya JKT. Mimi sioni faida yake.
Post a Comment