Sehemu ya pili ya "Wilfred Moshi na Mlima Everest" inaendelea kueleza kisa cha kusisimua na kutisha cha kijana aliyekuwa Mwafrika wa tatu na Mtanzania wa kwanza kupanda mlima mrefu kuliko yote duniani.
Je ilikuwaje? Nini hasa maana ya safari hii iliyotupa sifa Watanzania duniani? Je ushujaa wake Wilfred Moshi unahusu nini hasa?
Urban Pulse Creative Media, Freddy Macha wakishirikiana na Ubalozi wetu Uingereza wanakuletea habari hii ya kusisimua kwa majuma matano mfufulizo ili tuone na kujifunza kutokana safari yake ya hatari.
1 comment:
umeiletea sifa kubwa nchi yako Tanzania lkn kuanzia rais hawajakutambua kabisa kwa ulichokifanya,kweli haipendezi...wengine kitu kidogo tu wanadhaminiwa,kweli Tanzania wangetakiwa kukupokea vilivyo nakutunikiwa tuzo fulani ya kitaifa.
Post a Comment