ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, February 22, 2014

ADELA AKIFURAHIA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA MARAFIKI NEW YORK

Adela akifurahia jambo na marafiki katika kusherekea siku yake ya kuzaliwa, Picha zaidi chini
Adela akipata Ukodak
Ukodakzzzz! 
 Adela akishikiria pesa alizotunzwa na marafiki zake baada ya kucheza music.


1 comment:

Anonymous said...

mme pendeza jamani na sisi muwe mnatualikaga japo kuwa hamtujui watanzania wenzenu