Jana Usiku palikuwa na kipute Kikali
kati ya Chelsea na Galatasaray Ambao Chelsea walikuwa Uwanja wa Nyumbani
...Kama kawa mtu alichukua mbili Mbili huku Etoo Akiwa mmoja wa
wafungaji wa Chelsea katika Dakika ya 4, Mfungaji mwengine alikuwa Cahil
dakika 42
No comments:
Post a Comment