Zitto ameonekana Kufurahishwa na
ufafanuzi wa Jaji Warioba na hata Kupelekea kuwashawishi Wajumbe wenzake
kwamba, hawana budi kujadili namna ya Kuuboresha zaidi muundo huo wa
Serikali tatu badala ya kujadili Serikali mbili ambazo yeye mwenyewe
amekiri kwamba hazitakuwa Suluhisho la Kero za muungano kupitia ukurasa
wake wa facebook.
Hii imemtokea baada ya jana Kuusikiliza kwa makini ufafanuzi wa Jaji Warioba kuhusu muundo huo wa Serikali tatu, pia Kwa mujibu wa Maelezo ya Julius S. Mtatiro Naibu Katibu Mkuu wa CUF Tanzania Bara ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge maalum la Katiba amesema Idadi kubwa ya Wajumbe wa CCM, jana baada ya kutoka ndani Ukumbi wa Bunge, walionekana kuridhishwa na ufafanuzi wa hotuba ya Warioba huku wengine wakitamka wazi kuwa Serikali tatu ndio mpango mzima.
Nawasilisha!
Chanzo: Zitto Kabwe's facebook page.

1 comment:
Why seriki tatu.....bora muungano uvunjike au serikali moja na zanzibar iwe mkoa au mikowa miwili. Huu upuuzi no kuiba na kupeana vyeo vya ufisadi. Tayari serikali ni kubwa sasa inaongezeka baada ya kupunguzwa....kweli wananchi tunazidi kuwa waoga ...
Post a Comment