ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 17, 2014

KIVAZI CHA NUSU MWILI CHA LULU CHALETA KELELE KWENYE MEDIA LEO

Msanii wa Bongo muvi Elizabeth Michael "Lulu" akiwa katika pozi ndani ya kivazi kilichochukua vichwa vya habari kwenye mitandao mngi ya kijamii leo.

2 comments:

Anonymous said...

Hakuna heshima anadhihirisha akili ndogo bado.

Anonymous said...

ungekuwa na marehemu kanumba the great si ungekuwa unafaidi hivi sasa mtoto wewe japo kuwa ulikuwa unajifanya mjanja sana kwake kwa uzuri wake. sasa unavaa hivo ili iweje?