ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 15, 2014

MAZOEI KUENDELEA IJUMAA IJAYO HALI YA HEWA JUMAPILI HATIARUHUSU MAZOEI DMV VIJANA WAPO TAYARI KUWAKABILI NEW YORK MAY 24, 2014


Wachezaji wakila jaramba katika mazoezi siku ya Ijumaa March 14, 2014 wakati timu ya DMV ilipoanza mazoezi rasmi kwenye uwanja wa Meadowbrook park na kutokana na mvua Jumapili hii March 16, 201 2014 mazoezi hayatakuwepo. Jana kwa maozezi yameaanza na wachezaji 9 nimategemeo ya kila mchezaji kwamba Ijumaa ijayo March 21, 2014 wachezaji wengine watajiunga kama kawaida. Wachezaji waliofika mazoezi jana ni Hussen, Mude, Rich, Ally Mussa, Lodi Mohammed, Dedi Luba, Kinyang'anyiro na Ismail. Makeo na Manase walikuwepo lakini hawakua katika hali ya kuanza mazoezi hiyo jana.

No comments: