Familia ya Nsolo inasikitika kutangaza kifo cha mpendwa mama yao Mrs A.F. Nsolo kilichotokea leo March 17, 2014 Tanzania, Kama ilivyo kawaida yetu kupeana mkono wa pole ndio ustaraabu wetu hasa kuwafariji wafiwa katika hiki kipindi kigumu cha kuondokewa na mama yao.
Msiba hapa DMV upo
6000 Spring Hill Drive,
Greenbelt, MD 20770
Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na
Francis Nsolo 301 503 7387
Iddy Shah 202 641 2342
Marehemu alizaliwa 1946 na amefariki 2014 Bwana alitoa na Bwana ametwaa na jina lake lihimidie Amina
No comments:
Post a Comment