yani inasikitisha tena sana eti bidhaa yenye samaki wabovu imekamatwa je kwanini msiachore vikatoni vyakuonyesha na kuelimisha jamii wakati watu wa majuu wa magharibi wanavyotuletea bidhaa mbovu na sisi tunakenua meno na kula vitu vingapi vinaingizwa nchini vibovyu na mambo mangapi hawa wamagharibi wanatuletea na sisi kukaa kimya?
2 comments:
KIJANA TIBASIMA MUNGU AKUBARIKI SANA KWA KATUNI NZURI ZENYE KUELIMISHA,KUKOSOA NA KUJENGA JAMII NA UONGOZI WAKE.
UBARIKIWE KIJANA, NAIKUBALI KAZI YAKO

Post a Comment