bila ya ridhaa yao, wala kufuata misingi na taratibu za sheria za
ardhi.
Baadhi ya wanajeshi wamekuwa wakiweka mahema nje ya makazi ya raia hao na kuwapa usumbufu familia za raia hao wakiwemo akina mama na watoto. Pamoja na wananchi wa Kimbiji kulalamika mara nyingi katika vyombo vya habari ,pia katika vyombo serikali kuhusu majanga
haya, cha kusikitisha hakuna jibu lolote walilo pewa ! Wananchi wa Kimbiji wanasikitishwa sana na usumbufu wanao upata kutoka kwa wanajeshi JWTZ ambao wanadhamana ya kulinda nchi
sio kuwanyanyasa wananchi bila ya kufuata misingi ya sheria za miliki ardhi,wakati serekali nayo haijatoa tamko lolote kuhusu unyanyaswaji huo.
Wananchi wa Kimbiji wanamiliki maeneo yao ya asili na hawajawai kushiriki katika kikako chochote kile kinachohusu kugawa maeneoau kupisha mradi wowote ule wa maendeleo na Jeshi JWTZ. Wananchi wa Kimbiji wamedai kuwa wanajeshi wana lengo la kuwapora
Ardhi kwa kutumia vitisho vya kofia na nembo ya JWTZ. wananchi wanaiomba serikali pamoja tahasisi za mbali mbali kuingilia kati na kulitafutia ufumbuzi tatizo hili linalo wanyima usingizi
wananchi wa Kimbiji. kwa maelezo zaidi wasiliana na uongozi wa kimbiji
Simu: 0713768082 Diwani au 0713846688 Mwenyekiti

1 comment:
SASA HAWA WANAJESHI WAMEINGIA KWENYE KAZU HIYO YA KULINDA RAIA NA TAIFA LAKE SIO KUNYANYSA RAIA,NDANI YA NCHI YAO WANASAHAU WAJIBU WAO, AU HAWAJAPATA DARASA VIZURI LA KUJIELEWA WAPO HAPO KAZINI KWA SSABABU GANI? MANAKE MAMBO HAYA NI AFRICA TU KWA AJILI YA UKOSEFU WA ELIMU YA KUTOSHA
Post a Comment