Watu wote mnakaribishwa siku ya jumapili kwenye nyama choma ya kufungulia summer. Njoo ule nyama choma itakayochomwa kwa kutumia jiko maalum linalotumia computer za T.E.S.
Nyama zikiwa juu ya jiko hii yote ni katika kuchangia pesa kwa ajili ya Dual Citizenship kwaiyo utakula nyama bila kipimo kwa kuchangia kiasi cha pesa ulichonacho. Na ukipata nafasi ya kubadilishana mawili matatu na pia kukaribisha summer.
Mhe. Tuvako Manongi Balozi wa kudumu wa umoja wa mataifa akila nyama hizo zilizochomwa kwa kutumia jiko maalum lililotengenezwa na Temba Engineering Service.
Address
133-06 140th St Jamaica, NY 11436
Nyumbani kwa Dr Temba kuanzia saa 8 mchana hadi saa 2 usiku. Wote mnakaribishwa. Changia Dual Citizenship kwa kula nyama iliyochomwa kisasa na ni Organic kutoka Argentina.
12 comments:
Dr Temba kwa maringooo! Haya banah nyama organic toka Argentina !!! Haya Bwashee !!!
Mwache alinge ndo muda wake wa kushine!!
Leta yak nawe ushine ndugu!!
hizo pesa za kuchangia ni kiasi gani unachagia?
Love to your community and country is priceless
Kama unatoacomment ya tusi ni bora ukaandika najinalako kabisa ...kwanini kujificha. Jivunia chako kiroho safi na acha roho ya Utanzania badirika.
Nyama hapo mate yanitoka. Sana
Cha ajabu kitu gani wakati majiko mengi ya sasa yanatumia kompyuta?
Asante Dr Temba kwa moyo wako wa Upendo !
Sina nafasi tu, hizo nyama ni tamu , na nyingi !
Next time as usual tutakaribishwa, I will plan ahead of time so I can Attend ! Xxxx
12:01pm We Ebra, roho ya Utanzania ndio roho gani? Tufafanulie? Mshambaaaaaaa wewe so wewe una roho ya wapi ambayo unaiona nzuri na ukaikashfu nchi yako? Shule muhimu sana, my be ingekutoa ulimbukeni ulionao.
Wewe mwenye elimu mbona uweki jina lako unaogopa nini.? Hongera kwa kuwa na elimu, na kumbuka kuwa hakuna anaetembea na sign ya elimu yake kifuani kama tai. Na unaweza kuwa na elimu lkn ukashindwa maisha kutokana na kutokuwa na elimu dunia kama wewe.
Acha panic dada yangu ...fatilia bunge la katiba ndio utaujua Utanzania. Siyo kosa lako lkn ni (MP)
Post a Comment