Our first game this Sunday is at 3:30pm NYATI SQUAD vs DP.Cuatla
PLEASE LET'S SHOW UP ON TIME WITH FULL GEARS..
Bring your contribution for those who haven't paid yet..at least $20.00 each person...
We need $450.00 but we only have $300.00 so far...please show ur support.
SUNDAY IT IS ON...!!!
PLEASE LET'S SHOW UP ON TIME WITH FULL GEARS..
Bring your contribution for those who haven't paid yet..at least $20.00 each person...
We need $450.00 but we only have $300.00 so far...please show ur support.
SUNDAY IT IS ON...!!!

15 comments:
Hey Ibra, huyo demuni nani? Nimempenda
Vaa uniform- nenda kiwanjani- utamuoana- hakikisha una insuarance ya maisha.
Temba
bilal senior naye hayuko nyuma big up bwana mzeee kumekucha dj tahir ha ha ha
insurance ya maisha si inatoka kwa mungu amaaa
haina noma kama mali yako bwana mkuu nakuachia mwenyewe okay japo kuwa mimi niko full packaged sema macho tu ndo yamependa kuona kizuri
usiuize mademu wa watu wewe hujui ukivamia utavamikiwa na kuzimikiwa shauri yako new york kila mtu na wake na hata wa mwenzake pia wake
Onyesheni manjonjo yenu DC hamtuwezi! Pana wakali hapa!!
Hizi t-shirt vipi za timu peke yao..au na wengine tunawezapata? Bei na wapi zinapatikana , tuambizane basi.....nimezipenda.
DC jiandae, chezea NYC........
dj luke basi tafadhali mkuu angalia hizi comment zinginewe haziendani kabisa na hii picha naja ume copy na kupaste tena hii picha lakini hizi comment watu tumeshaziona zamani sasa bado zipo come on man
jezi zinapatikana kwa dola 20..ubalozini new york ulizia kocha
Mimi nataka jezi kama kunazo za kike na pia tracksuit kama wametengeneza za kike pia...Waweke online tunune kwani wote tunaishi NY?
Nahitaji Hilo jacket. Medium name jersey medium pia post naomba contacts nijue nalipaje plzzz dj luke
Mwanamke mmoja kuonekana kwenye picha mshataka kumjua mbona wanaume hamja ulizia nyie kweli mna?basi tu
tuwaulize wanaume wa nini wakati na sisi wanaume?wewe vipi?unadhani sisi mchele mchele?sisi vidume vya shoka tunaulizia wanawake hata kama mmoja na si vidume wenzetu wa nini wakiwa wanawake ndo wawaulizia vidume wewe vipi mtoa mada wa mwisho huna fikra
Wewe inabidi tukutafutie vimexico make inaonekama toka ufike ujapata
Post a Comment