ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 29, 2014

PICHA ZA KIKOMBE NA MEDALI KWA WACHEZAJI MECHI YA ZANZIBAR HEROES NA KILIMANJARO STARS DMV


Waziri wa Nchi ya Ofisi ya Rais Zanzibar Dr.Mwinyihaji Makame kwa pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Marekani wakishirikiana na Naibu Mwakilishi wa kudumu kwenye Ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa Balozi Ramadhani Mwinyi wakikabidhi kombe la sherehe la maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano kwa makepteni wa Zanzibar Heroes na Kilimanjaro Stars baada ya timu zote kutoka sare ya 2-2
Makepteni wa timu zaote mbili wakiwemo mashabiki na wachezaji wakinyanyua kombe kwa furaha.
Nifuraha kwa kwenda mbele
Mashabiki na wachezaji wakishangilia kombe.
Picha ya pamoja.
Zanzibar Heroes
Kilimanjaro Stars
Balozi Liberata Mulamula akiongea kabla ya kukabidhi medali
Balozi Liberata Mulamula akikabidhi medali kwa mmoja ya mchezaji wa Zanzibar Heroes
kwa picha zaidi bofya soma zaidi


2 comments:

Anicetus said...

Goli Mbili -Upange wa Tanzania na Zanzibar wamekubaliana kuwa na Serikali mbili

Temba

Anonymous said...

Ally we muongo ulibeba jessy