RaisJakaya Kikwete, akimjulia hali Mama Mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Zuberi Kabwe katika wodi ya wagonjwa wenye kuhitaji uangilizi maalumu (ICU) ya Hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam alikolazwa kwa matibabu.PICHA:IKULU.
4 comments:
Anonymous
said...
wanataka kumkolimba mama yake maskini weweee mungu amsaidiye
4 comments:
wanataka kumkolimba mama yake maskini weweee mungu amsaidiye
siasa ya bongo kweli ni chafu sana ukiwa msema kweli na kuwatetea wanyonge matokeo ndo haya by slow motion wanaku psychology your mind
sio siasa jaman mama yake zito anasumbuliwa na cancer ya shingo ya kizazi.
hebu wataalam tuelezeeni hii shingo ya kizazi ni cancer gani tena hii tuelezeeni tafadhali
Post a Comment