ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, May 29, 2014

KAMA MNYAMA HUYU ANAWEZA KUOMBA MUNGU WEWE JE?


Mnyama aina ya Otter akipiga maombi kabla ajala chakula unaweza kusema chochote juu ya picha hii lakini utakuwa umejifunza kitu kazi kwako.
Otter akigaga chini baada ya kula chakula alichokiombea kabla ya kula sasa kushiba, maisha yanaendelea kiroho safi. 

1 comment:

Anonymous said...

inaonyesha mnyama huyu ni mkiristo nauliza kwa mambo jinsi anavyoomba ndo maana nauliza hivyo.
ni ujanja wa camera huu ku copy,edit na ku paste