Saturday, May 31, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MFUKO WA ELIMU WA HALMASHAURI YA MJI WA KIBAHA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani, iliyofanyika kwenye Uwanja wa Kibaha Mailimoja leo, Mei 31, 2014.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akivishwa Skafu na vijana wa Scout wa mji wa Kibaha, wakati alipowasili kwenye uwanja wa Mailimoja Kobaha, kwa ajili kuzindua Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani, leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wakati akiwasili uwanjani hapo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisimama na viongozi waliokuwa meza kuu kwa ajili ya kupokea maandamano ya wanafunzi wakati wakiingia kwenye uwanja huo leo wakati wa uzinduzi wa Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mailimoja Kibaha.
Baadhi ya wanafunzi wa shule mbalimbali za msingi na Sekondari za mkoa wa Pwani, wakipita mbele ya jukwaa kuu na Mabango yenye ujumbe mbalimbali kuhusu suala zima la elimu, wakati wa uzinduzi wa Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani, iliyofanyika kwenye Uwanja wa Kibaha Mailimoja leo.
Baadhi ya wanafunzi wa shule mbalimbali za msingi na Sekondari za mkoa wa Pwani, wakipita mbele ya jukwaa kuu na Mabango yenye ujumbe mbalimbali kuhusu suala zima la elimu, wakati wa uzinduzi wa Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani, iliyofanyika kwenye Uwanja wa Kibaha Mailimoja leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi cheti cha shukrani, Mbunge wa Jimbo la Kibaha, Silvester Koka, kwa kutambua mchango wake katika kuchangia Mfuko wa Elimu, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani, iliyofanyika leo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi cheti cha shukrani, mwakilishi wa Kampuni ya Lemita Ltd, Mgeta Mganga, kwa kutambua mchango wake katika kuchangia Mfuko wa Elim, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani, iliyofanyika leo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi cheti cha shukrani, mwakilishi wa NSSF, Ummy Lweno,  kwa kutambua mchango wake katika kuchangia Mfuko wa Elimu, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani, iliyofanyika leo.
Baadhi ya wananchi na wanafunzi wa mji wa Kibaha wakichangia kwa hiyari mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha, wakati wa uzinduzi wa Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mailimoja Kibaha. 

No comments: