Thursday, May 29, 2014

UJUMBE WA NHC WAFANYA MAZUNGUMUZO NA MAKAMPUNI

Ujumbe wa NHC ukiwa na mazungumzo na Mwenyekiti na Mmiliki wa kampuni ya DAMAC Sheikh Hussain Sajwan.
Ujumbe wa NHC ukiwa na mazungumzo na Mwenyekiti wa Nakheek Sheikh Ali Lootah. Kushoto mwa Sheikh Lootah ni mhe. Omar Mjenga na kulia mwa Sheikh Lootah ni ndugu Mchechu na ujumbe wake

No comments: