ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 23, 2014

TIMES FM YAKICHANGIA KITUO CHA POLISI CHA KAWE

Rebecca wa Idara ya Masoko Times fm (kushoto) akipeana mikono na askari wa Kituo cha Kawe.
Mkurugenzi wa Radio Times Fm, Rehure Nyaulawa (kushoto) akikabidhi vifaa mbalimbali kwa Kamanda wa Polisi Wilaya ya Kawe, SSP Mponjoli Mponjile, Juni 21, mwaka huu katika kituo cha Polisi Kawe jijini Dar es Salaam.
Makabidhiano yakiendelea.

No comments: