Hii ni Mitaa ya Kariako najua wengi wenu mnaokaa huko ughaibuni mitaa mingine mtakuwa mmeisahau.
1. Kikambawe, 2. Mafia, 3. Jangwani, 4.Simba, 5.Congo, 6. Mkunguni.
7. Pemba, 8.Sikukuu, 9. Livingtone, 10. Narung'ombe, 11. Tandamti, 12 Msimbazi
13.Ndanda, 14. Nyamwezi, 15. Swahili, 16. Amani,17. Chui
18. Mhoro,19. Mchikichini, 20.Udowe, 21. Kariakoo, 22. Aggrey
23. Likoma, 24.Muheza, 25. Uhuru, 26. Kipata, 27. Lindi, 28. Somali,29. Mbaruk
30. Kiungani.,31. Kisarawe, 32. Bwimbwi
33. Rufiji, 34.Kikambawe, 35. Bond, 36.Viwanda
37. Lumumba, 38. Ndovu, 39.Ungoni, 40.Twiga, 41.Faru, 42.Nyati ,43.Matumbi, 44.Masasi, 45.Muhonda
3 comments:
ahsante sana mkuu kwa kutuwekea mitaa ya kwetu kuiona lakini mtaa wetu wa lindi maeneo ya gerezani sijauona na number umeuandika lakini kweny ramani haupo.Na number kidogo zinababaisha ulizoweka.
nimefarijika sana kuiona mitaa ya kwetu yote bado ninaikumbuka sema mitaa ya ndovu,nyati,ndanda, bond ,viwandani,ungoni faru,kikambawe,liloma,masasi na etc ni fumbo kubwa kwangu sikumbuki.
any way nakushukuru sana tena kwa kuweka kumbukumbu hii
Sijaona mtaa wa Raha
Safi sana biashara inaenda
Post a Comment