Advertisements

Saturday, July 26, 2014

KWA WALE WA PENZI WA FORMULA ONE HII HAPA HUKO PANDE ZA AZERBAIJAN

Kwa mara ya kwanza mji mkuu wa Azerbaijan Baku kutafanyika mashindano ya magari yaendayo kasi ya F1 2016. Mji huo utakuwa mwenyeji wa mashindano hayo na umepanga kuyafanya kihistoria kwani yatafanyika medieval streets, hii ni mara ya kwanza mashindano ya F1 kufanyika mtaani. F1 chief Bernie Ecclestone alitangaza. Kama unavyoona picha hii ndiyo maandalizi ya sehemu  maalum magari hayo yatakapo anzia kutimua mbio katika mji mkuu  huo wa Azerbaijan Baku. Michael Schumacher mwenye umri wa 45 raia wa Germany ndiyo bingwa wa kihistoria alieshinda mara 7 mbio hizo akitumia gari aina Mercedes Benz. Bingwa huyo wa kihistoria aliumia vibaya mwaka jana baada ya kupata ajari huko Ufaransa wakati akicheza michezo ya kuskii  ajari iliyosababisha hadi akalazwa koma kwa miezi 6 kuanzia tar 30.12.2013 hadi tar 16.6.2014.
Hii ndiyo aina ya gari ya F1.

No comments: