Advertisements

Sunday, July 27, 2014

MCHEZO WA KERAM NI MAARUFU SANA KIPINDI CHA RAMADHAN MAENEO YETU YALE

Mchezo huu wa keram ni maarufu sana si vijana wala wazee uleta burudani na ushindani mkubwa kama unavyoona hapa pembezoni mwa dukani kwa Mangi watu wakicheza. Natumaini nimewakumbusha wale watu wangu wa pande zile.

No comments: