Baada ya timu ya taifa ya England kuondolewa mapema kwenye World Cup wachezaji waliamua kula bata walivyojisikia. Hapa ni Raheem Sterling alivyokumbuka alikotoka ndani ya Jamaica akila bata ndani ya mji mkuu Kingston. Raheem mwenye umri wa miaka 19 sasa aliondoka Jamaica akiwa na miaka 5 na kuamia UK na sasa ni raia wa nchi hiyo na anachezea timu ya taifa na kwa upande wa club ni Liverpool.
Ukodak moment Raheem na Chris Gayle, Gayle ni supa staa wa mchezo wa Cricket wa pande hizo.
No comments:
Post a Comment