Dokta Kamdege akiwa kazini na vifaa vyake vilivyojaa miti shamba tayari kuwasaidia wananchi wenye shida ya mafanikio pamoja na matatizo mengine.
Na Sakina Shabani
Mganga maarufu aliyejichukulia sifa kibao nchini na nje ya nchi Dokta Kamdege ameibuka na kutaja sababu kadhaa za mwanamuziki Diamond aliyekuwa akiiwakilisha inchi kwenye tuzo za kimataifa za MTV na kuambulia patupu.
Akiongea na gazeti hli juzi mganga huyo ambae kwa sasa anatikisa jiji la Dar kwa kujaza watu mbalimbali wenye shida mganga huyo alisema" Unajuwa kukosa tuzo kwa Diamond kuna mazingira mengi sana ambayo yako chini ya pazia na si vyema kuyaweka wazi yote ila tu mtu mwingine aliyefanikisha Diamond kukosa tuzo ni Dvj Penny ambae kipindi kirefu amekuwa katika majonzi akifanya dua maalum ili Diamond akwame mambo yake" Alisema Mganga huyo
Mganga huyo anaepatikana kwa simu namba 0763-146231 aliongeza kusema kuwa Penny hadi leo hayuko sawa kutokana na Wema kumpora bwanaake huyo lakini ili kupoza machungu inabidi nae amlilie muumba wake ili atoe majibu.
Dokta kamdege amekuwa akiwasaidia watu wengi kwa kuwasaidia kibiashara na kuwa na mafanikio huku akitumia dawa za miti shamba si vinginevyo kama wafanyavyo waganga wengine kwa sasa yupo Jijini Dar kwa kazi hiyo ya kuwasaidia watu na amefikia Kiwalani Jijini Dar.
CREDIT:XDEEJAYZ
5 comments:
The Opportunistic Lier.
acheni kumpa promo mganga mnatoa nammba nyie mnafny advertising tu hamna lolote
Siamini katika karne hii mnaweza kupost upuuzi kama huu.promo kwa mganga Wa mpiga ramli!!!! Ajifanyie yeye achukue tuzo aacha kuzunguka na vibuyu na manyanga.
Huyo mganga mwenyewe ukimuona tu ana shida kibao si angejitibu yeye kwanza, huyo pencil ndo nani hata cha kumkwamisha diamond asipate tunzo? Si huyo pencil yeye mwenyewe kapora pia huyo chibu. Kwendeni zenu global ikiwa hamna stori za kuweka ziwekeni za wake zenu au waume zenu muliyoyafanya day before. Shut up!!!
kama kweli yeye anajua siri za mambo anayoyapata mtu au atakayoyapata na yeye atuambie atakufa lini? au anayajua ya wenzake tu.
Post a Comment