Advertisements

Saturday, July 26, 2014

Wimbo mpya wa Imma Poison ft Stamina- Nipokee

Ni mtoto wa miaka 14, anayeishi Morogoro. Tumeamua kumsaidia kutokana na uwezo wake wa uandishi na uimbaji, pia tumezingatia kutokana na maisha yake binafsi anayoishi ni maisha magumu sana yaani ya hali ya chini kabisa. Ukiwa kama mdau wa mziki huu na kukuza vipaji vya wasanii tunaomba ushirikiano wako katika hili juu ya mtoto huyu.

Mawasiliano kwa 0717 51 96 52 Ahmadi Machaku
0719 926957 Adili Omari


0653 361 070 Vennt Skillz

No comments: