Advertisements

Friday, August 1, 2014

HARUSI YA ALVIN NA SUSAN DALLAS TEXAS, NCHINI MAREKANI

 Alvin Mchaga na Susan Maganga wanatarajia kufunda pingu za maisha kesho Jumamosi Aug 2, 2014 watu mbalimbali kutoka kila kona waishaanza kuingia mjini.
Susan na Alvin wakiwa katika pozi kama walivyokutwa na pita pita ya Vijimambo mjini Dallas wakimalizia matayarisho ya mwisho mwisho ya harusi yao.

1 comment:

Anonymous said...

Congratulations to you both on my way to Dallas can't wait to join you on this great special day xoxo