Advertisements

Friday, August 1, 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE NA MKEWE MAMA SALMA KIKWETE WAWASILI WASHINGTON, DC , KUONGEA NA WATANZANIA WAISHIO MAREKANI KESHO

Rais Dkt. Jkaya Kikwete akisalimiana na watu mbalimbali wakiwemo maafisa na wafanyakazi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Washington, DC mara tu alipowasili leo katika uwanja wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling Virginia. Mhe. Dkt Jakaya Kikwete pamoja na mfala wake pia ameambatana na mkewe mama Salma Kikwete na yupo kuhudhuria mkutano wa 
Viongozi wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Amerika na Africa (US-Africa Leaders summit) uliondaliwa na Rais Barak Obama unaoanza Agosti 4-hadi 6, 2014, ambao utatanguliwa na mikutano mingine ya maendeleo ya sekta mbalimbali na uwekezaji (2-3 Agosti, 2014). Kushoto ni Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakisalimiana na watu mbalimbali wakiwemo maafisa na wafanyakazi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Washington, DC mara tu alipowasili leo katika uwanja wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling Virginia.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete 
wakisalimiana na watu mbalimbali wakiwemo maafisa na wafanyakazi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Washington, DC mara tu alipowasili leo katika uwanja wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling Virginia. Kesho Mhe. Rais Dkt Jkaya Kikwete ataongea na Watanzania waishio Marekani.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dulles tayari kwa Mkutano wa Viongozi wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Amerika na Africa (US-Africa Leaders summit) uliondaliwa na Rais Barak Obama unaoanza Agosti 4-hadi 6, 2014, ambao utatanguliwa na mikutano mingine ya maendeleo ya sekta mbalimbali na uwekezaji (2-3 Agosti, 2014) jijini Washington DC. PICHA NA IKULU

No comments: