Advertisements

Saturday, August 23, 2014

KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU AZINDUA MRADI WA TANKI LA MAJI MANISPAA YA MOSHI

Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA), wakishiriki kupokea Mwenge wa Uhuru ulipotembelea eneo hilo.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa ,Rachel Kassanda akikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi katika tanki la Maji la Longuo A.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Rachel Kassanda akifungua maji kuashiria kuanza kutumika kwa maji yanayotoka katika tanki la Maji lililozinduliwa.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Rachel Kassanda akibeba maji baada ya kuzinduliwa kwa tanki la Maji la Longuo A

1 comment:

Anonymous said...

Mbio za mwenge zimepitwa na wakati hazina tija kwa watanzania.