Advertisements

Saturday, August 2, 2014

MAANDALIZI YA HARUSI YA ALVIN NA SUSAN YAPAMBA MOTO

 Alvin akiwa na Rev. Marty Younkin wakati wakifanyia mazoezi kile watakachokifanya leo Jumamosi Aug 2, 2014 kwenye harusi yake na Susan jijini la Dallas nchini Marekani.
Kulia ni  Pascal Chakaonda ambae ni Meneja Mkuu wa MCCL akiwa na mkewe Nelly wakifuatilia mazoezi ya maandalizi ya harusi ya Alvin na Susan yaliyofanyika siku ya Ijumaa jioni.
 Wageni kutoka Houston, Texas wakijionea wenyewe maandalizi ya mwishomwisho ya harusi ya Alvin na Susan yanavyoendelea.
 Watoto wakifurahia jambo.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 Bwana na Bibi harusi watarajiwa katika picha ya pamoja na wasimazi wakiwemo wapambe wao katika kumsikiliza Rev. Marty Younkin (hayupo pichani) wakati alipokua akiwaelekeza jambo.
 Wageni waalikwa wakifurahia jambo walipokua kwenye maandalizi ya harusi ya Alvin na Susan.
 Mr and Mrs Alfred Koromo kutoka Iowa wakifuatilia mazoezi ya maandalizi ya harusi ya Alvin na Susan itakayofanyika leo Aug 2, 2014 jijini Dallas, Texas nchini Marekani.
 Mwongozaji wa mitindo ya kucheza Bi. Veronica (kushoto) akiwaelekeza wasimamizi wakiwemo wapambe wa bwana na bibi harusi miondoko ya kuingilia ukumbini
Mpambe wa bwana harusi Davis na mkewe

No comments: