Advertisements

Saturday, August 2, 2014

MSIBA DMV NA TANZANIA

Ndugu wana DMV, kaka yetu Samason Johnson “Chaka” amefiwa na baba yake mzazi nyumbani Tanzania. Msiba ulitokea hospital ya mkoa wa Mara. Mazishi yatafanyika Jumanne August 5, 2014. Samson Chaka anafanya mpango wa kwenda Tanzania kabla ya mazishi.

Kama ilivyo desturi yetu ya kutoa mkono wa pole na rambirambi; twendeni tukawaone wafiwa
Msiba upo
4820 Fort Totten Dr. N.E, Washington DC 20011
Kwa mawasiliano
Samson Johnson (Chaka) 202-706-4151
Jeson Mtolela 202-494-8146

No comments: