Advertisements

Saturday, August 2, 2014

UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA OHIO WASOGEZA TAREHE YA KUANDIKISHA WANACHAMA WAPYA

Jumuiya ya watanzania
Columbus Ohio
01, August 2014


 Kwa niaba ya mwenyekiti na uongozi wa jumuiya ya watanzania Ohio. Tunapenda kuwafahamisha watanzania wote waishio Ohio. Uongozi umesogeza tahere ya kuandkishwa Kwa wanachama wapya mpaka tarehe 20, august 2014. Kwa wale wenye nia na ari ya kujiandkisha fomu zinapatikana kwenye mtandao wa jumuiya, pia unaweza kuwasiliana na viongozi wafuatao
Mwenyekiti     
Deo Mwalujuwa
Katibu
Kibibi kondo Lowery
(614)592-9536
Wajumbe
Eliud Mashambo -(614)707-9353
Michael Mngodo -(614)917-0722
Vera Teri -(937)408-6116
Allan Rwabutaza - (614) 962-3718
Martin (Babu Tin).Canton Ohio - (330)412-4979

Tafadhali utakapopata ujumbe huu mtaarifu na mwenzako kwani
“UMOJA NI NGUVU NA UTENGANO NI UDHAIFU

SHUKRANI

UONGOZI 

No comments: