inna lillah waina illahim rajiun Allah amghufiriye madhambi yake na sisi tuliopo duniani because hatujui lini tutaitwa na hatma yetu.poleni sana wafiwa wote ndugu jamaa na marafiki.inna lillah waina illahim rajiun.
kifu ni funzo hili Allah anatufunza.Binadamu si lolote si chochote kila siku tuna tembea na mauti, tufanyiyaneni,tusaidiyaneni,tusikaa na kuchekana, tuwe watu wema tumfanye yale Allah atayaridhia. Amin.
1 comment:
inna lillah waina illahim rajiun Allah amghufiriye madhambi yake na sisi tuliopo duniani because hatujui lini tutaitwa na hatma yetu.poleni sana wafiwa wote ndugu jamaa na marafiki.inna lillah waina illahim rajiun.
kifu ni funzo hili Allah anatufunza.Binadamu si lolote si chochote kila siku tuna tembea na mauti, tufanyiyaneni,tusaidiyaneni,tusikaa na kuchekana, tuwe watu wema tumfanye yale Allah atayaridhia.
Amin.
Post a Comment