Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akimkaribisha rasmi Balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania,Balozi Eugene Segore Kayihura alipowasilisha hati za utambulisho leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akimkaribisha rasmi Balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania,Balozi Eugene Segore Kayihura mara baada ya kupokea hati zake za utambulisho leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kulia) akiwa katika picha ya pamoja Balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania,Balozi Eugene Segore Kayihura mara baada ya kuwasilisha hati za utambulisho leo, Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akizungumza (kulia) na Balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania,Balozi Eugene Segore Kayihura mara baada ya kuwasilisha hati za utambulisho leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akipokea hati za utambulisho wa Balozi mpya wa Norway nchini Tanzania,Balozi Hanne Maria Kaarstad leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (katikati) akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Benard Membe kwa Balozi mpya wa Norway nchini Tanzania, Balozi Hanne Maria Kaarstad Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kulia) akizungumza jambo na Balozi mpya wa Norway nchini Tanzania,Balozi Hanne Maria Kaarstad leo Ikulu jijini Dar es salaam.(Picha na Aron Msigwa – MAELEZO).

No comments:
Post a Comment