ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 16, 2014

Mwili wa Marehemu Amin Elias Mbaga Waagwa Dar

Mwili wa marehemu Amin Elias Mbaga aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya TTCL ukiwasili Kanisa la KKKT Sinza, jijini Dar es Salaam tayari kwa ibada ya kumuombea marehemu. 
Mwili wa marehemu Amin Elias Mbaga aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya TTCL ukiwasili Kanisa la KKKT Sinza, jijini Dar es Salaam tayari kwa ibada ya kumuombea marehemu.Mwili wa marehemu Amin Elias Mbaga aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya TTCL ukiingizwa kanisani. Mwili wa marehemu Amin Elias Mbaga aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya TTCL ukiingizwa kanisani.Mwili wa marehemu Amin Elias Mbaga aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya TTCL ukiingizwa kanisani. Mwili wa marehemu Amin Elias Mbaga aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya TTCL ukiingizwa kanisani.Mke na Watoto wa Marehemu Amin Elias Mbaga wakiwa katika ibada hiyo. Mke na Watoto wa Marehemu Amin Elias Mbaga wakiwa katika ibada hiyo.Wanafamilia na familia ya Marehemu Amin Elias Mbaga wakishiriki misa ya kumuombea aliyekuwa mfanyakazi mwenzao, marehemu Amin Elias Mbaga. Mwili wa marehemu umesafirishwa jana kuelekea Kilimanjaro kwa mazishi. WanafamOfisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya wafanyakazi wote wa TTCL mara baada ya ibada hiyo iliyofanyika Kanisa la KKKT Sinza, jijini Dar es Salaam. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya wafanyakazi wote wa TTCL mara baada ya ibada hiyo iliyofanyika Kanisa la KKKT Sinza, jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) akiwafariji wanafamilia ya marehemu Amin Elias Mbaga. Mwili wa marehemu umesafirishwa jana kuelekea Kilimanjaro kwa mazishi. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) akiwafariji wanafamilia ya marehemu Amin Elias Mbaga. Mwili wa marehemu umesafirishwa jana kuelekea Kilimanjaro kwa mazishi.Baadhi ya ndugu, jamaa, marafiki na wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wakishiriki misa ya kumuombea aliyekuwa mfanyakazi mwenzao, marehemu Amin Elias Mbaga. Mwili wa marehemu umesafirishwa jana kuelekea Kilimanjaro kwa mazishi. Baadhi ya ndugu, jamaa, marafiki na wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wakishiriki misa ya kumuombea aliyekuwa mfanyakazi mwenzao, marehemu Amin Elias Mbaga. Mwili wa marehemu umesafirishwa jana kuelekea Kilimanjaro kwa mazishi.Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya wafanyakazi wote wa TTCL mara baada ya ibada hiyo iliyofanyika Kanisa la KKKT Sinza, jijini Dar es Salaam. 
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya wafanyakazi wote wa TTCL mara baada ya ibada hiyo iliyofanyika Kanisa la 
KKKT Sinza, jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi na viongozi wa Kampuni ya TTCL, pamoja na jamaa wengine waliowahi kufanya kazi na marehemu wakiwafariji ndugu, jamaa, marafiki wa familia ya marehemu Amin Elias Mbaga. 
Baadhi ya wafanyakazi na viongozi wa Kampuni ya TTCL, pamoja na jamaa wengine waliowahi kufanya kazi na marehemu wakiwafariji ndugu, jamaa, marafiki wa familia ya marehemu Amin Elias Mbaga.Baadhi ya wafanyakazi na viongozi wa Kampuni ya TTCL wakiwa katika ibada ya kumuombea marehemu Amin Elias Mbaga aliyekuwa mfanyakazi mwenzao ibada hiyo ilifanyika Kanisa la KKKT Sinza, jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyakazi na viongozi wa Kampuni ya TTCL wakiwa katika ibada ya kumuombea marehemu Amin Elias Mbaga aliyekuwa mfanyakazi mwenzao ibada hiyo ilifanyika Kanisa la KKKT Sinza, jijini Dar es Salaam.[/caption]ilia na familia ya Marehemu Amin Elias Mbaga wakishiriki misa ya kumuombea aliyekuwa mfanyakazi mwenzao, marehemu Amin Elias Mbaga. Mwili wa marehemu umesafirishwa jana kuelekea Kilimanjaro kwa mazishi.Baadhi ya ndugu, jamaa, marafiki na wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wakishiriki misa ya kumuombea aliyekuwa mfanyakazi mwenzao, marehemu Amin Elias Mbaga. Mwili wa marehemu umesafirishwa jana kuelekea Kilimanjaro kwa mazishi. Baadhi ya ndugu, jamaa, marafiki na wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wakishiriki misa ya kumuombea aliyekuwa mfanyakazi mwenzao, marehemu Amin Elias Mbaga. Mwili wa marehemu umesafirishwa jana kuelekea Kilimanjaro kwa mazishi.Mwili wa marehemu Amin Elias Mbaga aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya TTCL ikiombewa kabla ya kusafirishwa kuelekea Mkoani Kilimanjaro kwa mazishi. Mwili wa marehemu Amin Elias Mbaga aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya TTCL ikiombewa kabla ya kusafirishwa kuelekea Mkoani Kilimanjaro kwa mazishi.

No comments: