ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 28, 2014

KIJIWE CHA UGHAIBUNI KURUDI HEWANI MWAKANI KAA MKAO WA KULA

Benja na Yasin(kushoto) katika picha ya pamoja,

3 comments:

Anonymous said...

Kumbe uzee haupigi hodi sura za hawa vijana ni tofauti kabisa na miaka saba iliyopita,dawa ni kujiandaa na mafao ya social security.

Anonymous said...

mmependeza wenyewe mabest but aaaah

ahaaa pole pole wakuu mbona mnakumbatiana hivyo? aaah pole pole.

na lini tutakuoneni tena kwenye kijiwe cha ughaibuni?

benja umeshaanza kuota mvii mkuu.

Anonymous said...

Benja mvi mambo ya pesa