Taarifa zinadai ya kwamba zaidi ya shilingi bilioni mbili za klabu ya YANGA zimetafunwa na wajanja wasiojulikana mpaka sasa,
Baadhi ya majina ya wafanyakazi wa zamani wakiongozwa na aliyekuwa katibu mkuu wa klabu hiyo bwana Beno Njovu jana walipelekwa kituo cha polisi cha Central kuhojiwa kutokana na ubadhirifu huo.
Taarifa kutoka chanzo cha kuaminika ndani ya klabu hiyo kimesema zaidi ya bilioni mbili zimepotea katika mazingira ya kutatanisha.
Credit:Shaffihdauda.com

No comments:
Post a Comment