ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, January 17, 2015

DKT. KAMANI AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI RUKWA

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Kamani (Mb) (mwenye miwani), akiwa katika zoezi la kuteketeza nyavu haramu alipotembelea mwalo wa Kasanga katika Mkoa wa Rukwa.
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Kamani (Mb) (mwenye miwani), akiwasaidia wavuvi kukarabari mtumbwi wao tayari kwa kazi ya uvuvi alipotembelea mwalo wa Kasanga mkoani Rukwa.
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Kamani (Mb) mwenye miwani, alipomtembelea mfugaji Ndugu. Kisinza (mwenye koti la bluu) katika Wilaya ya Nkasi ambaye ameanza ufugaji wa kisasa na kufuga mifugo bora yenye tija.Ng’ombe mmoja anafikisha wastani wa kilo 700 katika kipindi cha miaka miwili.(Picha na Mwakipesile)

No comments: