Advertisements

Monday, January 26, 2015

KIJIWE CHA UGHAIBUNI

13 comments:

Anonymous said...

Benja ,Yasini Jabiri kazi kweli kweli/

Anonymous said...

sasaivi kijiwe kinaonekana location nzuri sio kama mwanzo ila walevi sana mpaka basi ila kibolesheni huu mwaka2015

Anonymous said...

Hawa jamaa nawapenda sana,nimefurahi sana wamerudi,ni kweli kabisa watu wakubwa toka bongo wakija US wamechokaaa utafikiria hawana hela

Anonymous said...

Benja unaweza kuongea tu siyo lazima kuya "yell"

Anonymous said...

Hakuna positive message yoyote kwenye hii scene ya wanywa pombe! Holly crap!

Anonymous said...

M etiska dana nime enda point ya ya sin audiovisuella gena bongo safi dana U laga ni tumla.

Anonymous said...

hivi nakulizeni vijimambo team na kina lucas hivi mmekosa habari njema za kudiscuss isipokuwa habari hizi za wanywa pombee.

mnajiabisha bwana. hakuna laa maana lolote katika kipindi hiki zaidi ya kijiwe tu cha bla bla za wasela jobless.

waleteni wakina mama waje wachangamshe wao ndo wanamuamko mzuri wa kisiasa hawa walevi bwana hawana cha maana wanachozungumzia MNAHARIBU HESHIMA ZA BLOG HII.

Anonymous said...

Kwa kweli tumefurahi kimerudimtulimisi safi sanaa.

Anonymous said...

hii ndo maana halisi ya kijiwe. sasa watu wengine wanataka kijiwe kiongelee siasa kali na uchumi...anzisheni cha kwenu basi.

Anonymous said...

BIG UP BENJA ,YASINI NA JONGO NIMEFURAHI SANA KUWAONA ,PIA DJ LUKA SAFI SANA KWA KU-IMPROVE LOCATION.
MDAU
HELSINKI ,FINLAND

Anonymous said...

Eti Benja yuko clean, mbona hulipi child support bongo 5 kids

Anonymous said...

ndo ujeuri wenu siyo tuanzishe chakwetu sawa no problem but si watu kukaana kunywa mipombe weee na halafu kurusha clip hewani bila hata kuelimisha jamiii.au kwa vile mko marekani vichwa vyeupe kama wenye nchi hiyooo.hakuna la maana zaidi starehe kwenda mbele mwedo wa kasi.

tataiacha hii blog very soon na kuanzisha cha kwetu just wait time will tell

Anonymous said...

mchukuliye mdogo mdogo huyu benja msela tu jamani anatafuta life huko majuu na kujifunza si unamuona anavyo foka foka kuwakataza wenzake wasipeleke pesa home na kuwacha wake zao wa kibongo.

kisa kimemuawakia huko bongo na majungu yake anajipozea unyamweziniiiiiiiiiiiii na bla blah nyingi

mchukuliyeni tuuu.lakini jamaa ana chekesha kweli.