Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba akiwa kwenye kizimba cha mahakama tayari kusomewa shitaka linalomkabili.
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, akiwa kwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, leo mchana wakati alipofika kusomewa shitaka la kesi yake ya jinai kwa kuwashawishi wafuasi wake kufanya fujo baada ya kutiwa mbaroni jana alipokuwa akiongoza maandamano ya wanachama wa CUF.
Mwenyekiti wa Chama cha Wanachi CUF, Prof Ibrahim haruna Lipumba akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo alipofikishwa kusjibu shitaka la kuhamasisha wanacham awa chama chake kufanya jinai.
Wanachama na Wafuasi wa CUF wakiimba nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba akiwatuliza wanachama na wafuasi wa chama hicho kuacha kelele katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupata dhamana na kutoka nje ya Mahakama hiyo.
Gari za Polisi zikifanya doria maeno mbalimbali ya jiji na maeneo ya Mahakama ya kisutu ili kukabiliana na vurugu ambazo zingejitokeza.Picha na Sufiani Mafoto na Mroki Mroki
2 comments:
waste of time and resources. I can't understand these policemen.
Because you are not a Law Maker.
Post a Comment