ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, January 28, 2015

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA BIASHARA YA KILIMO KWA NCHI ZA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano wa Biashara ya kilimo kwa Nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki kwenye Hoteli ya serena jijini Dar es salaam leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa FMD yenye makamo yake Nchini Kenya Bw. Fergus Robley wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Biashara ya kilimo kwa Nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki kwenye Hoteli ya serena jijini Dar es salaam leo.
Akitembelea maonyesho ya bidhaa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa afisa muendeshaji Mkuu wa kampuni ya FARMEQUIP Rattan Singh alipotembelea maonesho ya Biashara ya kilimo kwa Nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki kwenye Hoteli ya serena jijini Dar es salaam leo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, katikati akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wakuu wa makampuni ya Biashara ya nyenzo za kilimo, wakati wa mkutano wa Biashara ya kilimo kwa Nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki kwenye Hoteli ya serena jijini Dar es salaam leo. Picha na OMR

No comments: