Sehemu ya nje ya Msikiti wa Pili kwa ukubwa duniani “Masjid Sultan”. Msikiti huo umefanywa kama Kivutio cha Watalii na kujifunza ambapo Watanzania Wanaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa na Utamaduni nchini Oman waliutembelea Msikiti huo kujifunza zaidi.
Wageni na Baadhi ya Watanzania Wanaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa na Utamaduni nchini Oman wakiwa Sehemu ya mbele (Qibla) ya Msikiti wa Pili kwa ukubwa duniani “Masjid Sultan”. Msikiti huo umefanywa kama Kivutio cha Watalii na kujifunza.Watanzania hao walienda kutembelea Msikiti huo kujifunza zaidi. Picha na Faki Mjaka-Mascut Oman
Wafanyakazi wa Msikiti wa Pili kwa ukubwa duniani “Masjid Sultan” wakijibu maswali na kutoa ufafanuzi kutoka kwa Watalii mara baada ya kumaliza kutembelea msikiti huo. Watanzania Wanaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa na Utamaduni nchini Oman nao walienda kutembelea Msikiti huo kujifunza zaidi. Picha na Faki Mjaka-Mascut Oman
Wageni na Baadhi ya Watanzania Wanaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa na Utamaduni nchini Oman wakiwa Sehemu ya mbele (Qibla) ya Msikiti wa Pili kwa ukubwa duniani “Masjid Sultan”. Msikiti huo umefanywa kama Kivutio cha Watalii na kujifunza.Watanzania hao walienda kutembelea Msikiti huo kujifunza zaidi
Wafanyakazi wa Msikiti wa Pili kwa ukubwa duniani “Masjid Sultan” wakijibu maswali na kutoa ufafanuzi kutoka kwa Watalii mara baada ya kumaliza kutembelea msikiti huo. Watanzania Wanaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa na Utamaduni nchini Oman nao walienda kutembelea Msikiti huo kujifunza zaidi. Picha na Faki Mjaka-Mascut Oman
No comments:
Post a Comment