ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, January 28, 2015

MIAKA 66 YA UHURU WA INDIA

Balozi Mdogo wa India Zanzibar,Balozi Satendar Kumar, akipandisha Bendera ya India kuadhimisha Siku ya Uhuru wa India kutimia miaka 66 ya Uhuru wa Nchi hiyo, maadhimisho hayo yamefanyika katika Ofisi za Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar. 
Balozi Mdogo wa India Zanzibar,Balozi Satendar Kumar, akitowa heshima wakati upandishaji wa Bendera ya India kuadhimisha Siku ya Uhuru wa India kutimia miaka 66 ya Uhuru wa Nchi hiyo kwa Zanzibar yameadhimishwa katika viwanja vya Obalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar. 
Balozi Mdogo wa India Zanzibar,Balozi Satendar Kumar, akiwahutubia Wananchi wenye Asili ya India, Akisoma hutuba kwa niaba ya Rais wa India wakati wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa India kutimia miaka 66 ya Uhuru, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ubalozi Mdogo Migombani Zanzibar. 

Wananchi wenye asili ya India wakimsikiliza Balozi Mdogo wa India Zanzibar Balozi Satendar Kumar , akihutubia hutuba kwa niaba ya Rais wa India kuadhimisha miaka 66 ya Uhuru wa India katika viwanja vya Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar.

Balozi Mdogo wa India Zanzibar, Balozi Satendar Kumar,akisalimiana na wageni wake baada ya kuhutubia katika hafla hiyo ya kuadhimisha miaka 66 ya Uhuru wa India katika viwanja vya Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar

Balozi Mdogo wa India Zanzibar, Balozi Satendar Kumar,akizungumza na Wananchi wenye asili ya India waliohudhuria hafla ya kuadhimisha miaka 66 ya Uhuru wa India katika viwanja vya Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar
Balozi Mdogo wa India Zanzibar, Balozi Satendar Kumar, akiwa ma Mkewe akizungumza na Wananchi waliohudhuria hafla hiyo ya kusherehekea miaka 66 ya Uhuru wa India zilizofanyika katika Afisi za Ubalozi Mdogo Migombani Zanzibar.
Mke wa Balozi Mdogo wa India akizungumza na Wananchi wenye Asili ya India wanaoisha Zanzibar waliohudhuria hafla ya kuadhimisha miaka 66 ya Uhuru wa India katika viwanja vya Ubalozi Mdogo Migombani Zanzibar.
Wananchi wenye Asili ya India wakiwa katika viwanja vya Ubalozi wa India Zanzibar wakati wa kuadhimisha Siku ya Uhuru wa India kutimia miaka 66 ya Uhuru wa India.
Balozi Mdogo wa India Zanzibar,Balozi Satendar Kumar, akizungumza na Maofisa wa Ubalozi wa India Zanzibar.
Balozi Mdogo wa India Zanzibar,Balozi Satendar Kumar, akibadilishana mawazo na Viongozi wa Madhehebu ya Bohora walioko Zanzibar, baada ya kusoma risala ya Rais wa India kuadhimisha Siku ya Uhuru wa India. maadhimisho hayo yamefanyika katika viwanja vya Ofisi ya Ubalozi wa India Migombani Zanzibar. 
Balozi Mdogo wa India Zanzibar,Balozi Satendar Kumar, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wananchi wenye Asili ya India waki katika picha ya kumbukumbu kuadhimisha Siku ya Uhuru wa India kutimia miaka 66, zilizofanyika katika viwanja vya Ubalozi wa India migombani Zanzibar. Picha kwa hisani ya Zanzi News Blog

No comments: