Advertisements

Saturday, May 30, 2015

BONDIA FRANSIC CHEKA KUZIPIGA LEO MAY 30 UKUMBI WA P.T.A SABASABA

Mabondia Francis Cheka kushoto na Kiatchai Singwancha wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa leo May 30 utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A sabasaba 
Mabondia Francis Cheka kushoto na Kiatchai Singwancha wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa leo jumamosi ya May 30 utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A sabasaba 
Mabondia Selemani Zugo naq Twaha Kiduku wakitunishiana misuli
BONDIA JOSEPH SINKALA AKITUNISHIANA UBAVU NA IBRAHIMU MAOKOLA BAADA YA KUPIMA UZIDO KWA AJILI YA MPAMBANO WAO W MEI 30 KATIKA UKUMBI WA P.T.A SABASABA 
BONDIA EPSON JOHN AKIPIMA UZITO

No comments: