Advertisements

Monday, August 3, 2015

BALOZI LIBERATA MULAMULA KUAGANA NA WANADIASPORA LIVE NDANI YA STUDIO YA KILIMANJARO LEO JUMATATU

JUKWAA LANGU kutoka Kwanza Production, Vijimambo Radio na Border Media Group. Kipindi kipya kinachorushwa LIVE kila siku ya Jumatatu kuanzia saa 12 kamili jioni (6:00pm) EST kwa saa za Marekani ya Mashariki.
JUKWAA LANGU ni kipindi kiinachozungumzia mambo mbalimbali yanayotokea Duniani ikiwemo maswala ya siasa na kuangalia mstakabali wa nchi yetu kuelekea uchaguzi na kupata fulsa ya kuongea na watu mbalimbali ndani na nje ya Marekani

 Piga simu 240 281 0574 utuambie ni nini maoni yako kwa Tanzania uipendayo 
Kipindi hiki kimeandaliwa na kurushwa LIVE na mtangazaji mahiri Mubelwa Bandio kupitia
Ama kwa aliye Marekani na Canada unaweza kutusikiliza kupitia 716 748 0086

 USIKOSE KILA SIKU JUMATATU KATIKA KIPINDI CHA JUKWAA LANGU

Jumatatu hii ni kipindi maalum cha Balozi Liberata Mulamula kuwaaga wanaDiaspora LIVE kupitia studio ya Kilimanjaro

No comments: