Advertisements

Monday, August 3, 2015

DK. MAGUFULI KUCHUKUA FOMU NEC KESHO

Na Mwandishi Wetu
MGOMBEA mteule wa urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, kesho Jumanne, Agosti 3, 2015, atatinga Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kuchukua fomu ya kuomba kugombea Urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba Mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari, leo jijini Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema, Msafara wa Dk. Magufuli  kwenda kuchukua fomu hiyo, utaanza saa tano asubuhi ukitokea Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam.

Nape amesema, msafara ambao utaambatana na shamrashamra za aina yake, utapita katika Barabara za Morogoro, Bibi Titi Mohammed na Ohio kabla ya kufika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi zilizopo Posta House, karibu na makao Makuu ya Jeshi la Polisi.

Amesema, Dk. Magufuli ambaye ataambatana na Mgombea mwenza wake, Samia Suluhu, mbali na makada, wapenzi na wanachama wa CCM, atasindikizwa na viongozi mbaimbali wakiwemo, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.

Dk. Magufuli alichaguliwa na Mkutnao Mku wa CCM, uliofanyika Oktoba 11, 2015, mjini Dodoma, baada ya kuwashinda wagombea wenzake, Dk. Asha-Rose Migiro na Amina Salum Ally.

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo).

8 comments:

Anonymous said...

Huyu mh Magufuli inabidi apigwe makeup. Sina uhakika kama hata huwa apaka lotion. Sura yake iko rough anahitaji facial.

Unknown said...

Hatutafuti mrembo tunatafuta rais wa nchi. Au wewe ni shoga?

Anonymous said...

Tatizo la watu wengine vyakula vyakula visivyoongeza ustarabu mwilini. Mtoa maoni wa kwanza katoa maoni yake. Halafu anayemfuatia anamtukana. Kwani ni kosa kutoa maoni. Kama unatofautiana na maoni ya mtu lazima utukane?

Anonymous said...

Shame on you! Kamapake makeup baba yako halafu umlete hapa! Chizi kabisa wee!

Kwani uliambia anakwenda kwenye mashindano ya "big brother African?" Ishii!

Anonymous said...

Lol Kabisa kama alietoa maoni ya Mr bulldozer apigwe makeup si mdada basi hapana shaka atakuwa mtoto si ridhiki . Waafrika maonekano yetu yanatulia tunaapokua katika muenenekano wetu wa asili kwa kweli mr magufuli katika picha ya hapo juu ametulia kabisa . Nashangaa hasa kwa wadada wanaotoka africa wanapojidhalilisha kwa kujichubua, manywele ya bandia kwa kweli wana piss off hata kuwatazama .

Anicetus said...

..."Obama's mother is of white U.S. stock. His father is a black Kenyan," Stanley Crouch recently sniffed in a New York Daily News column entitled "What Obama Isn't: Black Like Me." "Black, in our political and social vocabulary, means those descended from West African slaves," wrote Debra Dickerson on the liberal website Salon. Writers like TIME and New Republic columnist Peter Beinart have argued that Obama is seen as a "good black," and thus has less of following among black people. Meanwhile, agitators like Al Sharpton are seen as the authentic "bad blacks." Obama's trouble, asserted Beinart, is that he will have to prove his loyalty to The "People in a way that "bad blacks" never have to. Obama, for his part, settled this debate some time ago. "If I'm outside your building trying to catch a cab," he told Charlie Rose, "they're not saying, 'Oh, there's a mixed race guy.'" Obama understands what all blacks, including myself, know all too well — that Amadou Diallo's foreign ancestry could not prevent his wallet from morphing into a gun in the eyes of the police.

For years pundits excoriated young black kids for attacking other smart successful black kids by questioning their blackness. But this is suddenly permissible for presidential candidates. Beinart's good black/bad black dynamic is the sort of armchair logic that comes from not spending much time around actual...

blackhttp://content.time.com/time/nation/article/0,8599,1584736,00.html people.

Anonymous said...

Mbona pichani tayari alikshapakwa makeup. Mi naona bora huyu kuliko Wasira au Pinda. Yani Pinda ni kama amekunywa maji ya limao wakati wote.

Anonymous said...

Well talking bout blackness or not or let say talking bout indentified some one race in American I can say only Americans know who they are . For example white Americans believe in order to qualify to be a white first you should be a 100% white, not only 100% white but also you have come from United states of America. If you come from Italy you will be known as Italian American. If white mixing with other races let say Spanish they may call it a mixing race but when white mix with black race you will be known as a black even if your complexion more white than black .Being black mixing race you will be accepted as a black it depends how you corporate in black society and how you feel bout yourself. But mostly blacks accepting their mixing brothers and sisters as their own, white Americans don't. That is just my experience from what i see.